makka

TANGAZO MUHIMU KWA WASOMAJI WETU

Assalam Alaykum, Ndugu Waislam, Tunapenda kuwajulisha kuwa kuanzia mwaka huu mpya wa 2012 tumebadilisha jila la mtandao wetu. Hivyo ilikufaidika zaidi na makala zetu tafadhali tembelea mtandao wa anuwani hii hpttp://www.daruislam.blog.com Tunakuombeni radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na tunatarajia kuwa mutaendelea kutuunga mkono kwa kutembelea mtandao wenu huu mpya, Inshaallah. Tunamuomba Allah aturahisishie katika kazi [...]

Read more
URANIUM MI

UCHIMBAJI WA ‘URANIUM’ CHINI YA UBEPARI HAKUNA JIPYA!

“Jamani sasa majibu ya mawazo yangu nimeyapata, kwa nini Bush na wengine wamekuwa wakija kija huku kwetu, kumbe dili ndio hilo, nina uhakika hapo kuna mkono wa taifa kubwa moja wapo kati ya Marekani na Uingereza.” (http:/www.mwananchi.co.tz/business/13-biashara-za-kitaifa/18354-uranium-kuanza- kuchimbwa -mwakani) Haya ni maoni ya mmoja wa wasomaji katika mtandao wa gazeti la Mwananchi la Tanzania la [...]

Read more
MAPINDUZI YA K.1

VITA VYA QADSIYA (MUHARRAM 14 AH/ 637A.D)

Katika zama za Mtume (S.AA.W) na Masahaba zake, Uislamu ulibebwa kuwa mfumo kamili wa maisha wenye wajibu wa kutekelezwa na kulinganiwa ulimwenguni kote kwa njia ya da’wa na jihadi. Aidha, ilieleweka wazi kwamba utabikishaji na ulinganizi wa Uislamu unahitaji nguvu za serikali. Kutokana na ufahamu huo sahihi Waislamu pamoja na Mtume (S.AA.W )wakafanya kazi usiku [...]

Read more
xmas

‘KRISMASI’ HOJA YA KUWALINGANIA WAKIRISTO KATIKA UISLAMU

Krismasi inakaribia. Sikukuu iliyoibuka muda mrefu baada ya Nabii Issa As. Sikukuu hii iliasisiwa karne ya 313 AD. na Mtawala Constatine wa Roma alipoukubali ukiristo. Akaunda sikukuu ya krismasi kwa mchanganyiko wa sherehe za kipagani za waroma kutoka sikukuu yao ya Saturnalia pamoja na ibada ya mafursi kwa mungu wao Mithra. www.history of christmass.net. Kwa [...]

Read more
tz flagmap

SIKU YA UHURU, JEE KWELI TUNA UHURU?

Tukiwa katika siku za kumbukumbu za uhuru wa bendera, ambapo Tanganyika iliupata rasmi kutoka Uingereza katika mwaka 1961. Ikimaanisha kwamba ni miaka 50 tangu lillipotokea tukio hili. Katika hali kama hiyo ipo haja ya kuzungumzia dhana (concept) ya Uhuru kwa upana, uhalisia wake, chimbuko lake na namna madola yenye mifumo walivyoitumia kwa maslahi yao kujijengea [...]

Read more
the message2

MTUME AAMRISHA KUUWAWA YAHUDI ADUI SALAM BIN ABIL-ALHUQAIQ

Baada ya kumalizika vita vya Ahzab katika mwezi wa Shawwal 5AH, dola ya kiislamu ilichukua hatua kadhaa kuangamiza na kuwatia adabu maadui wengine mbalimbali. Awali lilishughulikiwa kabila la kiyahudi la Bani Quraidha lililoisaliti dola ya kiislamu kwa kuvunja mkataba wa amani na kula njama kwa kushirikiana na makafiri wengine katika vita vya Ahzab dhidi ya [...]

Read more
hijra3

1433 HIJRA KWA UPANA

وَقُلْ رَبِّ أَدْخِلْنِي مُدْخَلَ صِدْقٍ وَأَخْرِجْنِي مُخْرَجَ صِدْقٍ وَاجْعَلْ لِي مِنْ لَدُنْكَ سُلْطَانًا نَصِيرً ‘Na sema Mola wangu niingize muingizo mwema na nitoe kutoka kwema na unipe madaraka kutoka kwako na ushindi’ (TMQ 17:80) Wakati tukiwa tunaanza mwaka mpya wa kiislamu wa 1433 Hijria, lazima tukumbuke kwamba kalenda ya kiislamu iliasisiwa rasmi wakati wa Khilafah [...]

Read more
ushoga

‘USHOGA’ MTOTO WA DEMOKRASIA

Kauli ya Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron katika mkutano wa Jumuiya ya Madola mwanzoni mwa mwezi wa Novemba jijini Perth Australia kuzitaka nchi wanachama ikiwemo Tanzania kuzitambua kikatiba haki za mabaradhuli na ‘ndoa za jinsia moja’ kama sharti la misaada, ilipelekea kupazwa sauti kali na raia wa kawaida, wanafikra, wanasiasa pia viongozi wa dini [...]

Read more
khilafah magazine

Toleo la Muharram 1433

Bonyeza hapa JRD Muharram kwa ufunguzi wa Jarida (PDF) MADA ZILIZOMO: 1) USHOGA MTOTO WA DEMOKRASIA 2) MAPAMBANO YA KISANII DHIDI YA UKIMWI 3) KWA NINI UKIRISTO HUBEBWA NA MFUMO WA KIBEPARI (sehemu ya pili) 4) UKOMBOZI WA GALID SHALIT: DALILI NYONGEZA YA UDHAIFU WA ISRAEL 5) WANAWAKE KATIKA KUPAMBANA NA DHULMA YA FIR-AUN

Read more
UTAIFA 1

Video: UZALENDO & UTAIFA AU UISILAMU?

Uzalendo & Utaifa (Asabiyyah) ni Haramu kwa Ummah wa Waisilamu na ni kizuwizi kikubwa kwa umoja wetu

Read more
znz flag

UZALENDO NA UTAIFA AU AQEEDA YETU TUKUFU YA KIISILAMU?

Binaadamu ni kiumbe aliyeumbwa na Muumba. Ni Muumba huyu ndie aliyeumba ulimwengu, binaadamu na maisha. Binaadamu ameumbwa bila ya uamuzi wala khiyari yake, pia akaletwa duniani kwa njia na taratibu ambazo si chaguo lake wala si kwa mipango yake. Aidha, mwanaadamu akafikia katika ulimwengu huu bila ya matakwa yake. Sehemu ambayo Muumba wa huyu mwanaadamu [...]

Read more